Verified

Kura Yapigwa Kwa Amani Kwenye Kituo Cha A.C.K

  • Incident Incident
  • Nearby Incident Nearby Incident

Incident Report Description

Kwenye kituo cha kupiga kura cha A.C.K wakenya wamejitokeza kwa wingi ilikuwachagua wanaothani kuwa viongozi wao. Hakuna rabsha zozote zimetangazwa kwenye kituo hiki licha ya hayo, kuna usalama wa hali ya juu,kutoka sakumi na mja hadi sasa laini inasonga polepole lakini kura inapigwa kwa amani
Credibility: UP  DOWN  0